Hivi ndivyo hali ilivyo sasa maeneo ya Royal college of
Tanzania watu bado wanaendelea na zoezi la upigaji kura mara baada ya mvutano
wa muda mrefu kati ya tume ya uchaguzi na uongozi wa cuo uchaguzi huu
unahusisha wagombea wane ambapo katika nafasi ya urais ni GEOFREY MTENZI na
SHANGWE MZINGA wakati makamo wa Rais ni JUMA MSIRI na DANIEL KILEO
WAPIGA KURA WAKIWA KATIKA FORENI KUELEKEA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA |
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WAMEKAA PEMBEZONI MWA CHUO WAKISUBIRI KUPIGA KURA |
WAGOMBEA MBELE JUMA MSIRI NA NYUMA DANIEL KILEO WAKIINGIA KATIKA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA KUFUNGUA ZOEZI HILO |
GEOFREY MTENZI MGOMBEA WA URAIS AKIHAKIKI JINA KWA MJUMBE WA TUME TAYARI KWA KUPIGA KURA |
MASHUHUDA WA ZOEZI LA KULA -WASIMAMIZI |
MOJA KATI YA WANAFUNZI AKIPIGA KURA |
WAJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI WAKIWA NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA |
MASANDUKU YA KURA |
No comments:
Post a Comment