EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amekata kiu ya watu wengi waliotaka kujua kuwa nini kimgeendelea kwa wale waliohusika katika ubadhilifu huo Mh Rais amesema hakutakuwa na mashitaka yeyote yatakayoendelea kwani kampuni hiyo ilitakiwa kurudisha pesa zote ilizokusanya kwa nchi kama Japan,Marekani na Tanzania kwa dhumuni ya mpango wa Rada katika nchi hizo bila kushitakiwa kwa tuhuma za ulaji rushwa. Kwani kwa mujibu wa mahakama ya nchini Uingereza ambayo ilipewa dhamana ya kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi hiyo ilisema kuwa kampuni ya Epa haikuhujumu nchi hizo bali kulitokea matatizo katika uchapishaji wa vitabu vya hesabu vya kampuni hiyo swala lililofanya kampuni ishindwe kuendelea na utendaji kazi wa Rada kwa hiyo hakukuwa na rushwa ndani yake.

No comments:

Post a Comment