EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

Ikiwa ni swala linaloikwaza nchi ya Tanzania kuhusu kulegalega katika utendaji kazi wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kwa sasa si kazi laisi kuigawa kampuni hiyo katika makundi matatu kama wengi wanavyotaka kwamba kuwe na kampuni zinazojitegemea (1.uzalishaji), (2.usafirishaji) na (3.usambazaji) swala hili limeonekana kuwa ni gumu kwani uwezo wa Tanesco bado ni mdogo hivyo uwezi ukagawa kampuni tatu zigawane pesa za kampuni ya Megawati 400 ambazo zinazalishwa na Tanesco kwa sasa.Mh raisi amesema ameiachia serikali ya awamu ya tano kufikiria zaidi kuhusu swala hilo kwani kwa sasa yeye muda haumtoshi.

No comments:

Post a Comment