EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

Jana wakati wa jioni Rais Jakaya akizungumza na wahariri mbalimbali wa habari katika kikao chake na waandishi hao,moja ya vitu muhimu alivyovizungumza ikiwemo na swala la tuhuma na machafuko ya rushwa yanayoendelea nchini Mh Raisi amesema kuwa swala hilo yeye peke yake kama raisi hawezi kulitatua bali nguvu za pamoja zinahitajika ili kukomeshwa suala hilo.Lakini pia alizungumzia hatua zilizofikiwa na serikali katika kuondoa na kukomesha kabisa rushwa nchini ni pamoja na kuanzishwa kwa taasisi maalum ya kupambana na rushwa (TAKUKURU)ambayo kwa sasa ina ofisi karibia kwenye wilaya miamoja nchini pia kajiri na kutoa mafunzo ya kutosha kwa wafanya kazi wa taasisi hiyo aliendelea kwa kusema kuwa kuwa kwa sasa wapo katika mchakato wa kuajili wafanyakazi 300 zaidi katika taasisi hiyo ili kuongeza nguvu. kwa mujibu huo basi mh Kikwete amewataka wananchi kuacha kusikiliza kauli za mitaani baada yake kuiachia Takukuru pamoja na magakama kufanya kazi hiyo.

No comments:

Post a Comment