EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 2, 2012

MISRI YACHAGUA BARAZA JIPYA LA MAWAZILI

Nchi ya Misri ambayo kwa sasa iko chini ya utawala wa rais mpya baada ya kuondolewa kwa rais wa zamani. Leo imechagua baraza jipya la Mawazili huku balaza hilo likionekana kuwaacha na kuwatema idadi kubwa ya mawaziri wa utawala uliopita.

No comments:

Post a Comment