EBENEZA MARCH 9 2014
SWACO
royal
tt
NIMO
mvuto
Thursday, August 2, 2012
Mchezaji huyo pamoja na mwenzake ambao walikuwa wakiiwakilisha china kupitia mchezo wa Tenis walienguliwa juzi kutoka katika michuano ya olympiq na kupewa adhabu ya kuondoka Londoni jana jumatano,jambo hilo limetokea mara baada ya chama cha usimamizi wa michuano hiyo kugundua kuwa wachezaji hao walikuwa wakicheza chini ya kiwango chao cha kawaida kwa makusudi kwa dhumuni la kushusha kiwango cha timu yao swala ambalo ni aibu kwa nchi yao ya china. Wakati china ikipongeza hatua ya kuondolewa kwa wachezaji hao kwa upande wao leo wamejihudhuru kucheza tena mchezo huo nchini humo huku wakiomba radhi kwa chama cha michezo nchini mwao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment