EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, August 1, 2012

Sambamba na kushindwa kutamba na kunyakua ubingwa katika fainali za kombe la kagame,Azam imeonekana kutupa lawama zake kwa aliyekawa kocha mkuu wa timv hiyo mzawa wa uingereza kuwa amekuwa sababu ya timu hiyo kufanya vibaya katika mechi hiyo ya fainali mara baada ya kukiuka maagizo ya bodi ya utendaji ya Azam ambayo ilimtaka kumchezesha mchezaji Mrisho Alfani Ngasa toka kipindi cha kwanza na yeye kufanya tofauti kwa kutomchezesha mchezaji huyo kama ilivyo amrishwa kwa mujibu huo basi mmiliki na bodi ya utendaji ya timu hiyo imemuondosha Kocha huyo ambapo kwa sasa timu hiyo ipo chini ya kocha Muhindi aliyekuwa akifundisha timu ya Vijana.

No comments:

Post a Comment