EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

MALKIA WA UINGEREZA JANA USIKU AFUNGUA RASMI MICHUANO YA ORYMPIQ

Mama huyo kiongozi wa nchi ya uingereza jana alifungua rasmi michuano hiyo ya orympiq na kutoa fulsa kwa wanariadha saba kuwasha na kutembeza mwenge wa orympiq katika viwanja hivyo,sherehe hizo pia ziliudhuliwa na waigizaji na wachekeshaji maarufu duniani Mr.BIN na Mr.BON huku mitandao ikilipoti kuwa sherehe hizo zilitizamwa na watu bilioni moja duniani kupitia televisheni zao.

No comments:

Post a Comment