EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

MACHELANO AONYESHA NIA YAKE YA KUENDELEA KUBAKI BARCELONA ZAIDI.

Kiungo huyo wa zamani wa Liverpoo ambaye kwa msimu uliopita alikipiga katika timu ya Barcelona jana ameondoa hofu na maswali yaliyokuwa yametawala vichwani mwa washabiki wengi wa barca kuwa huwenda nyota huyo ataitema timu hiyo msimu huu lakini kana Machelano amesaini mkataba mya wa miaka miwili na timu hiyo.Machelano mchezaji ambaye alisajiliwa na kocha pepe guadiola akiwa kama kiungo mshambuliaji na baadae kubadilishwa na kuwa mkabaji wa kati mara baada ya kuumia goti lake. Kwa sasa ataendelea kuitumikia barcelona mpaka mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment