EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

LUKA MODRIC,AWA KITENDAWILI BAADA YA KUGOMEA MKATABA WA TOTENHAM

Kiungo huyo toka katika tim ya totenham huko uingereza amekuwa katika kitendawili na hali ya sintofahamu kwani mara baada ya kugomea kusaini mkataba mpya katika timu yake hiyo ili aweze kuendelea kukipiga na timu hiyo msimu ujao uanzao mwezi september,kwa sasa nyota huyo ameonekana kutokuwa na timu maalumu ya kuelekea kwani mpaka sasa hakuna timu yoyote ndani na nje ya Londoni ambayo inashukhwa kumzungumzia kuhusu kumsajili.

No comments:

Post a Comment