EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

AS VITAR NAYO YAJIFUTA MACHOZI KWA KUKAMATA NAFASI YA TATU cagame cup.2012

Baada ya kuchakazwa na Azam katika nusu fainali hatimaye timu ya As Vitar toka Kongo imejifuta machozi kwa kuilaza APR toka Rwanda mabao 2-1 katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa nafasi ya tatu katika michuano ya kagame iliyomalizika hii leo katika uwanja wa taifa Jijini Dar,TANZANIA.

No comments:

Post a Comment