EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

Hatimaye yanga wachukua tena kwa mara nyingine kombe la kagame kwa kuichapa Azam fc bao 2-0 na mabao yaliyofungwa ma mchezaji HAMISI KIHIZA katika dakika ya 44 kipindi cha kwanza na kumalizia kwa mkwaju wa goli la pili toka kwa kiungo wao machachali SAID BAHANUZ mnamo dakika ya 46 katika kipindi cha pili na kufanya yanga kufanikiwa kutetea ubingwa wao wa msimu uliopita mwaka jana,wakati hayo yakiendelea kocha mpaya wa timu hiyo ya yanga aandika historia kwa kuwa kocha aliyeichukulisha timu yake muda mfupi baada ya kukabidiwa timu.ubingwa huo pia umechukuliwa huku yanga ikiwa chini ya utawala mpya wa mwenyekiti Yusuphu Manji.

No comments:

Post a Comment