EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 20, 2013

MSANII MWINGINE BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

                             
Msanii wa zamani wa Kundi la Kaole Sanaa. Mr Bomba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na kansa ya uvimbe wa kwenye ini.  Msiba utakuwa Buguruni Malapa jijini Dar es salaam nyumbani kwa marehemu alipokuwa akiishi. Mwili utaagwa siku ya Jumatatu nyumbani kwake Buguruni na kusafirishwa kijijini kwao Mpwapwa Dodoma siku hiyo ya Jumatatu kwa mazish...

"HAKUNA MFANYABIASHARA MKUBWA NCHINI ALIYEFANIKIWA B

ASILIMIA 48.3 YA WANAUME TANZANIA WAMEBAMBIKIWA WATOTO NA WAKE ZAO


Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini imesema karibu nusu ya watu waliojitokeza kupima vinasaba (DNA) ili kubaini uhalali wa watoto wao, vipimo vimeonesha si wazazi halisi wa watoto waliopimwa. Takwimu hizo ni kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2010, ikionesha kuwa, asilimia 48.32 ya wazazi 'wanalea' watoto wasio wa kwao wakati asilimia 51.68 ndio wazazi halali.  Hayo yameelezwa jana na Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Jinai, Vinasaba na Baiolojia wa ofisi hiyo, Gloria Machuve katika mkutano na wanahabari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dar es Salaam.  Ingawa hakutaja idadi kamili ya waliojitokeza kupima..
..

ILA KUTOA RUSHWA SERIKALINI"....REGINALD MENGI


MWENYEKITI wa kampuni za IPP, Reginald Mengi ametoboa siri kuwa hakuna mfanyabiashara wa Tanzania aliyefanikiwa katika biashara kubwa kwa kusaidiwa na serikali bila ya kutoa rushwa.  Mfanyabiashara huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), alisema yeye aligoma kutoa rushwa kwa watendaji wa serikali jambo lililosababisha kupoteza fursa nyingi ambazo zingemfanya awe na maendeleo zaidi ya aliyonayo hivi sasa. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam wakati akichangia mada katika uzinduzi wa ripoti ya uchumi na maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2013, uzinduzi uliofanyika katika...

No comments:

Post a Comment