EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, November 16, 2013

HUYU NDIO MCHEZAJI MWINGINE ALIYESAJILIWA NA YANGA


HASSAN DILUNGA


Na   Shafii Mohamed

Baada ya kufanikiwa kumsajili kipa Juma kaseja, klabu ya dar yanga Afrika  ama watoto wa jangwani wamefanikiwa kumsaili kiungo wa timu ya RUVU shootimg na timu ya taifa ya Tanzania Hasani Dilunga .

Yanga imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo huyo wa Ruvu shooting Aliye jumishwa kwenye kikosi cha timu kitakacho enda kushiriki michuano ya CECAFA Challenge cup nchini Kenya   kwa kandarasi au mkataba wa miaka mitatu ambapo dau la mkataba huo halikuwekwa bayana.

Dilunga anakuwa ni mchezaji wa pili kuasjiliwa na yanga katika kipindi hiki cha dirisha lililofunguliwa November 15 kufuatia usajili wa kipa juma kaseja ambao umekamilika wiki iliopita ndani ya timu hiyo




No comments:

Post a Comment