![]() |
| Mourinho akimpongeza kocha wa Newcastle baada ya mechi |
MABAO
ya Yoan Gouffran na Loic Remy yameipa Newcastle ushindi wa 2-0 dhidi ya
Chelsea katika Ligi Kuu ya England leo, huku Manchester City ikiifumua
Norwich 7-0.
Gouffran
alifunga bao lake dakika ya 68 na Remy akafunga dakika ya 89 katika
mchezo huo ambao timu ya Jose Mourinho ilikamatwa kila idara.
Kikosi
cha Chelsea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Terry, Luiz, Cole,
Lampard/Schurrle dk70, Ramires, Oscar, Mata/Willian dk62, Hazard,
Torres/Eto'o dk62Newcastle: (4-4-2): Krul 7; Debuchy 7, Williamson 6,
Yanga-Mbiwa 6, Santon 6; Sissoko 8, Cabaye 7, Tiote 6 (Anita 53, 7),
Gouffran 7 (Obertan 84); Shola Ameobi 5 (Cisse 62, 6), Remy 7.
Newcastle:
Krul, Debuchy, Williamson, Yanga-Mbiwa, Santon, Sissoko, Cabaye,
Tiote/Anita dk53, Gouffran/Obertan dk84, Shola Ameobi/Cisse dk62 na
Remy.
Winner: Yoan Gouffran celebrates the header that gave Newcastle all three points over Chelsea
Making sure: Loic Remy scored a late second as Chelsea went in search of an equaliser
Bouncing back: Alan Pardew's team picked up their first win in three matches
Nayo
Manchester City imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo
mwingine wa ligi hiyo. Mabao ya City yamefungwa na Johnson aliyejifunga
dakika ya 16, Silva dakika ya 20, Nastasic dakika ya 25, Negredo dakika
ya 36, Toure dakika ya 60, Aguero dakika ya 71 na Dzeko dakika ya 86.
Kikosi
cha Man City kilikuwa: Pantilimon, Zabaleta, Demichelis, Nastasic,
Clichy, Nasri/Milner dk71, Fernandinho, Toure, Silva/Jesus Navas dk73,
Aguero, Negredo/Dzeko dk45.
Norwich: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Johnson, Whittaker/Murphy, Howson, Fer , Pilkington na Hooper/Elmader dk45
.Katka hatua nyinyine washika bunduki wa london Asernal Thegurnes wameendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi ya England EPL kwa kuchapa Liverpool vijogoo wa jiji kwa jumla ya mabao 2-0
katika mchezo huo Santiago kazola ndio alieanza kuifungia Asernal katika dakika ya 19 wakati goli la pili limewekwa kimiani na kiungo Aron Remsey dakika ya 59 hivyo kuifanya Asernal kujikita kileleni mwa msimamo
Curler: Yaya Toure celebrates after scoring a free-kick for Manchester City's fifth
Sweet as you like: Toure's free-kick flew over the wall and landed pinpoint perfect into the top corner

No comments:
Post a Comment