EBENEZA MARCH 9 2014

SWACO

royal

tt

NIMO

mvuto
Saturday, July 28, 2012
WADAU WA SOKA TANZANIA WALALAMIKIA VIWANGO VYA WACHEZAJI KATIKA KOMBE LA KAGAME
Wadau wengi wa soka nchini Tanzania wameonekana kutoridhishwa namna ya uchezaji wa wachezaji wa timu zao katika msimu wa kombe la kagame,lawama hizi pia zimewataka makocha kubadili mfumo wa vikosi vyao na kuacha tabia ya kumtegemea mchezaji mmoja mmoja kuwa muhimili wa timu zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment