HOSPITALI YA IRANI YADAIDIA WATANZANIA KWA KUTIBIWA KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 40
Balozo
Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa
hospitali ya Iran huko Dubai wakitia saini makubaliano ambapo hospitali
hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa
Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
Balozo
Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa
hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo
hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya
matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital
Dubai Balozo
Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa
hospitali ya Iran huko Dubai wakionesha hati za makubaliano ambapo
hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya
matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital
Dubai
No comments:
Post a Comment