Ngamlagosi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Haruna Masebu, aliyemaliza muda wake Desemba 31 mwaka jana baada ya kuitumikia mamlaka hiyo kwa vipindi viwili vya miaka minne kila kimoja.
Taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Ewura, Simon Sayore, ilieleza kabla ya uteuzi wake, Ngamlagosi alikuwa Mkurugenzi wa Udhibiti wa Kiuchumi wa Ewura, nafasi aliyoitumikia kwa miaka saba.
No comments:
Post a Comment