Messi
mwenye umri wa miaka 26 alitolewa katika kipindi cha kwanza Jumapili
iliyopita katika mchezo dhidi ya Real Betis na iligundulika kuwa
alichanika msuli wa paja katika mguu wake wa kushoto. Msimu huu umekuwa sio mzuri kwa nyota huyo kutokana na majehara ya mara kwa mara yanayoamuandama kuanzia Septemba mwaka huu.
Katika
taarifa zilizotumwa katika mtandao wa Barcelona zimedai kuwa hatua ya
kwanza ya matibabu ya nyota huyo itafanyika hapohapo chini ya uangalizi
wa madaktari wa timu hiyo na baadae atasafiri kwenda jiji Buenos Aires
kwa mapumziko zaidi.
No comments:
Post a Comment