TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MAMA MZAZI WA JAFFARI ALLY (MUME WA KHADIJA KOPA)

Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, akilia kwa uchungu nyumbani kwake Tandale jijini Dar.
Simanzi na majonzi vilitawala msiabani hapo.
Akina mama waliofika kumpa pole Mama Mzazi wa Jaffari.
SIMANZI, vilio na majonzi vilitawala
nyumbani kwa Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa,
Tandale jijini Dar.
Marehemu Jaffari ambaye alikuwa ni mume wa Malkia wa
Mipasho nchini, Khadija Kopa amefariki dunia usiku wa kuamkia jana
katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo.
Marehemu Jaffari alikuwa Diwani wa
kata ya Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakati mama yake...
KHADIJA KOPA AKIELEKEA UWANJA WA NDEGE JANA KWA AJILI YA MSIBA WA MUMEWE JAFFARI ALLY

Khadija Kopa akilia kwa uchungu mara baada ya kupata taarifa za mumewe kufariki.
Akipewa sapoti wakati akielekea uwanja wa ndege.
Baadhi
ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza
kupanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija
Omar Kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya
kufiwa na mumewe Jaffari Ally Yussuf aliyefariki dunia jana alfajiri. Bi
Khadija Kopa alikuwa akitokea kwenye maadhimnisho ya siku ya Mazingira
Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa juzi....
HATIMAYE NGWEA AZIKWA KWENYE MAKABURI YA KIBONDA MKOANI MOROGORO....HIZI NDIO PICHA ZA MAZIKO YAKE

Baada
ya siku kadhaa zilizokuwa na kila aina ya harakati, ugumu na majonzi
makubwa, Albert Mangweha aka Ngwair leo amezikwa kwenye makaburi ya
Kihonda mkoani Morogoro ambako ni nyumbani kwao.
Kabla
ya kuzikwa, wananchi wa Morogoro walipata fursa ya kuuaga mwili wake
kwenye uwanja wa Jamhuri.
Umati mkubwa wa wananchi ulijitokeza kutoa
heshima zao za mwisho kwa mwili wa Ngwair aliyefariki nchini Afrika
Kusini, wiki iliyopita. Wasanii wengi kutoka Dar es Salaam nao
wamehudhuria mazishi hayo.“Marehemu
Albert Mangweha azikwa kishujaa sana ni umati usioelezeka mungu
akulaze mahali pema peponi,” ameandika Izzo B kwenye...
PICHA ZA M 2 THE P AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA ALBERT NGWEA MOROGORO MCHANA HUU

M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki
yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena
walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta
Ngwea....!!
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea
alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika
kumweleza ukweli......
...
No comments:
Post a Comment