EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, June 12, 2013

BREAKING NEWS: MILLIONI 35 ZAMBAKISHA KIEMBA SIMBA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI


amri kiemba mchezaji clabu ya simba na timu ya taifa ya tanzania

Mchana wa leo Simba ilikuwa kwenye jitihada nzito kuhakikisha inamzuia Kiemba kusaini Yanga kwa kumpa ofa nono ya mkataba mpya, Kiemba alikuwa akihitaji kiasi cha millioni 38 ili asaini msimbazi lakini baada ya mazungumzo marefu Kiemba amekubali kusaini kwa kiasi cha millioni 35 kwa miaka miwili.

Pia Kiemba atakuwa analipwa mshahara wa millioni 2 kwa mwezi. Alisaini mkataba huo mbele ya kaimu makamu mwenyekiti  Mzee Kinesi.
CONTACT US-swacotzforum@gmail.com &0658768183

No comments:

Post a Comment