kumbe ile show ni ya kina Pina na wala hakuna ubaya mimi kupanda stage na kutaka pale kutoa shout out eidha kwa Nikki au kwa yeye Kala Pina au msanii yoyote yule ambae namzuka nao kwa hiyo pina na wenzie wametokea kwa nyuma mmoja akanisukuma pina ye akanipiga ngumi, nilikua namsikia mtu kama anasema asiehusika na hii show ashuke, sikujua kama ni kala pina, ningejua kama ni yeye ningejua ni ize yeye ni msanii wa hiphop na mi ni msanii wa hiphop.
kumpiga mtu ni hali ya wewe na yeye mpigane puuuh puuuh puuuh mtu mbili halafu ukanipiga, ndio uwaambie watu umempiga Chidi Benz, sio nyie mmetokea kwa nyuma, mgongoni kwangu huku mmekuja mkanisukuma mmoja kanipiga ngumi, mpo ishirini sijui wangapi show yenu kumbe maisha club, mnasema mmenipiga???? we unaonge mtu umempiga
hakuna mtu ambae hajui, hakuna msanii ambae hajui, zamanai nilikua nagombana na kina pina kwasababu walikuwa wanawaonea wasanii, walishawaonea wakina mangwea, o ten, mimi nipo na kina FA namkimbiza pina na kundi lake mimi, yeye na anajua, so mi hapa hajawa hata mara moja kunichengua, wao wameshawahi kufanya ugomvi na mimi msasani club, mimi peke yangu wao kibao na wakanishindwa umenielewa sijui, kwa hiyo pina sio kwamba mimi ananiweza yule ni jitu tu na manyama yake kibao"
No comments:
Post a Comment