EBENEZA MARCH 9 2014
SWACO
royal
tt
NIMO
mvuto
Thursday, August 2, 2012
Msanii nguli wa muziki wa bongo flava ambaye kwa sasa anatamba na video yake ya Danger Zone,Ambwene Yesaya maarufu kama AY jana jioni amewafungukia watanzani kuwa wanatakiwa kuamini kauli zake anazozitoa kuhusu muziki wake na kuhusu kufanya kazi na wasanii wakubwa wa ncini Marekani. AY ambaye kwa sasa yuko chini ya meneja wa mzungu toka nchini Marekani amesema kuwa amefanya kazi mbili ambazo ni audio na Sean Kingstone na kwa sasa alikuwa anajipanga kwa ajiliya video ya moja ya nyimbo hizo na kwa mujibu wa maelezo yake amesema kila kitu kiko sawa na wamepanga kwenda kufanya video hiyo mwanzoni mwa mwezi september mwaka huu ambapo video hiyo itafanyika Ross angers Calfonia ambako kingstone anaishi kwa sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment