EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, March 1, 2014

DAYOSISI YA ANGALIKANA RONDO YAMUUNGA MKONO RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA HARAKATI ZA KUHIFADHI MAZINGIRA LEO WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA PAMOJA NA KUPANDA MITI PAMOJA NA MKUU WA WILAYA YA LINDI DR:AHMAD MASOUD


MH:MKUU WA WILAYA YA LINDI DR,AHMAD MASOUD AKIWASIRI ENEO LA TUKIO..MWENYE SUTI

NA KASSIM NGUMBI....Mtwara
Kanisa La Angalikana Dayosisi Ya Rondo Imeazimisha Siku Maalum Ya Mazingira Kwa Kaulimbiu Isemayo Acha Alama Rondo Kwa Lengo La Kuhifadhi Na Kutunza Mazingira Katika Hafla Hizo Zilizofanyika Ndani Ya Viwanja Vya Shule Ya Seminari Ya Rondo Zilihudhuliwa Na Viongozi Wa Kiserikali Pamoja Na Viongozi Wa Kidini Miongoni Mwao Alikuwapo Mkuu Wa Wilaya Ya Lindi Dr,Ahmadi Masoud Ambaye Ndiye Mgeni Rasmi,Kaimu Injinia Wa Maji Lindi Vijijini,Ndg,Rodriki Ernest Mbepela,
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA LINDI MH,SELEMANI NGAWEJE
Afisa Afya Na Mazingira Toka Wilaya Ya Lindi Ndg,Ismail Mbani,Kaimu Afisa Afya Ndg Evan Ndamwaga,Kaimu Mkurugenzi Wa Lindi Ambae Pia Ni Afisa Mipango Wa Wilaya Hiyo Ndg,Selemani Ngaweje,Kamanda Wa Takukuru Wilaya Bi<Emmy Kabuje Aliyemwakilisha Kamanda Wa Takukuru Mkoa,Na Wengine Wengi Toka Taasisi Mbalimbali Akiwamo Makamu Askofu Wa Angalikana Baba Karo Markus.
KAMANDA WA TAKUKURU WILAYA LINDI BI,EMMY KABUJE (KATIKATI)
Katika Ghafla Hii Lengo Kuu Lilikuwa Ni Kuhimizana Na Kukumbushana Kuhusu Suala Zima La Utunzaji Mazingira Ambapo Kwa Upande Wa Taasisi Kupitia Mratibu Wao Ndg,
AFISA MAJI WA LINDI NDG,ISMAIL MBANI
Linus John Buriani Toka
Idara Ya Miradi, Kilimo Na Mazingira
Rondo Junior Seminary Wao Wamesema Kuwa Wanafanya Kazi Moja Kwa Moja Juu Ya Suala La Utekerezaji Harakati Za Utunzaji Mazingira Ikiwamo Kufanya Miradi Inayolenga Uhifadhi Kama Vile Upandaji Miti Na Ufugaji Wa Nyuki,
MKUU WA CHUO CHA NENO LA KIROHO RONDO NDG,KENEDY DEOGRAS
Lakini Pia Serikali Kwaupande Wao Kupitia Hotuba Ya Mkuu Wa Wilaya Dr,Masoud Wamewapongeza Waratibu Na Washiriki Wa Mradi Huo Rondo Na Kuahidi Kushirikiana Nao Bega Kwa Bega Ambapo Mkuu Wa Wilaya Alichangia Shilingi Laki Tatu Kama Sehem Ya Mchango Wa Mradi,
KAIMU ASKOFU BABA KARO MARKUS
Lakini Pia Serikali Kupitia Mpango Wake Unaoendeshwa Katika Wilaya Za Lindi Wakushindanisha Uhifadhi Wa Mazingira Imeweza Kuikabidhi Rondo Seminari Zawadi Ya Nishani Kwa Kuwa Washindi Wa Kwanza Wa Mashindano Hayo Huku Nafasi Ya Pili Ikishikwa Na Shule Ya Nyangao Na Ya Tatu Imeshikwa Na Shule Ya Msingi Ya Nching
INJINIA WA MAJI LINDI NDG ERNEST MBEPELA

HIZI CHINI NI TAARIFA ZOTE ZA HAFLA HIYO ZIKIWEMO HOTUBA....



MWENDELEZO WA PICHA ZA MATUKIO..
WANAFUNZI WA RONDO SEMINARI WAKIIMBA WIMBO WA SHULE
 
JUKWAA KUU
 
DC AKIELEKEA KATIKA ENEO LA KUPANDA MITI NA MSAFARA WAKE PAMOJA NA WAGENI WENGINE




MKUU WA WILAYA AKIPANDA MTI


ZAWADI YA MAZINGIRA WALIYOPEWA RONDO


BAADHI YA WAHUDHILIA WA TUKIO WAKIPANDA MITI KATIKA SHAMBA LA MFANO

KAIMU ASKOFU AKIPANDA MTI



KANISA ANGLIKANA TANZANIA
                              DAYOSISI YA MASASI
                              RONDO JUNIOR SEMINARY
S.L.P 212, LINDI.rondotz@yahoo.com +255784191433, +25582629436 +255652769009

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA NITUNZE MAZINGIRA KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA YA SEMINARI YA RONDO, TAREHE 01/MARCH/2014
SALAMU
NduguMgeniRasmi–Mh. MkuuwaWilayayaLindi
Baba Vicar General-Fr.Carlos Marcus, pamojanaViongoziwotewaOfisikuuMtandi
KamandanaMkuuwa TAKUKURU Mkoa
MarafikizetuwaMabenkinaMakampuniyaMawasiliano
Idarambalimbalizilizopo Kata yaMnara
Rafikizangu UMOJA WA VIJANA kutokaMasasi
Jamiiyoteya Chuo naSeminari
WageniwenginewotewaalikwamabibinaMabwana
Bwana YesuAsifiwe,
NduguMgeniRasmi,
NipendekuchukuafursahiikipekeekumshukuruMgenirasmikwakukubalimwalikowetu, Umeacha mambo mengiyakiofisinakifamiliaukaamuakujakushirikipamojanasikatikasikuhiimuhimusanakwetu. NiwashukuruViongozikutokaOfisiKuukipekee Baba Vicar General natimuyakoyotekwakuacha mambo mengiyaOfisininakukubalikuwanasileo. Niwashukuruniwageniwenginewotekwaujumlawenunanyikwasehemumumejidhatitikujakutupamoyokwakazihiikubwatuliyoianza.Najuahaliyahewanichangamotokwenunapenginemiundombinuyabarabara,lakininiimaniyangukuwamutafurahiauwepowenuhapa.
NduguMginiRasmi,
Kwakutambuajitihadazakutunzamazingirazinazofanywanaserikalipamojanamashirikayasiyoyakiserikali, DayosisiyaMasasikupitiaTaasisiyakeyaSeminariya Rondo ilibunimradimdogowakutunzamazingiraambaounadhamirayakuyafanyamazingirayetukuwasehemu bora kwakusomanakujifunza (Making Rondo Seminary a better place for learning and studying) HiinikuendeleakusaidiaharakatimbalimbalizinazofanywanaSerikalikupitiaDirayaMaendeleo (2025), MpangowaKukuzauchuminaKupunguzaumaskini (MKUKUTA) naMalengoyaWizarayaMisitunaMazingirakupitia sera yaMisitunaMazingirakwapamojazikilenga safari yakufikiakilele cha malengoyaMilenia 2015 lengonamba 8. KutokananaharakatihizoMradiwaNitunzeMazingiraunamalengoyafuatayo.
*    Ifikapomwaka 2017 taasisiiweimepandamitiyambao 100,000/= katikamaeneoyakeyaliyoposeminarini Rondo,
Hiiitasaidiakupunguzaatharizatabianchiambazowotenimashahidiwamabadilikomakubwayahaliyahewanahasakatikamaeneoyetu .
*    Kuanzishakitalu cha kuzalishamicheyamitiyaainambalimbalikatikavyanzovyamajichenyeuwezowakuchukuamiche 50000kwaawamumojaifikapo June 2014. Hiiitasasidiakupatamitikwaajiliyakutekelezalengo la kwanza
*    Kufanyamabadilikoyamuonekanowamaeneombalimbaliyashulenachuokamamadarasani, njia, mabweninaeneo la kanisailikuifanyataasisiyetusehemumzuriyautaliinakujifunzia.
NduguMgeniRasmi,
Kwakutambuaumuhimuwakushirikiananawadaumbalimbalikatikakufanikishajambohilitaasisiinashirikianakwakaribusananawakalawamisitunamaliasiliwalioko Rondo Ntene,Taasisizabenkimarafikimbalimbalikutokasehemumbalimbali.NipendekuwashukurusananduguzetuwaWakalawaMisitunaMaliasili Rondo NtenekwamchangowaomkubwawanaoutoakwetukamaTaasisi. Ni imaniyetukamaDayosisiyaMasasipiakwakusanyikohilitutusaidiakwakiasikikubwakwahalinamaliilikufanikishamalengoyetu.
NduguMgenirasmi
Tayaritumefanikiwakatika mambo mbalimbalikama vile tumefanikiwakupatamitiyamaua 750 kutokandandaingawamalengonikupatamiti 1500, tumefanikiwakuanzakubadilishamuonekanowabaadhiyamaeneokama vile maeneoyamadarasaninakanisani ,tumefanikiwakupatamitiyambao 300 kutokakwarafikizetuWakalawaMisitunaMaliasilinatumefanikiwakuandaamashambayenyeukubwawahekta 4 ilikuanzamaandaliziyakupandamitimsimuwa 2014/2015. Kipekeetupendekuwashukurumarafikizetuwaliokouingerezahasa The Friends of MasasiNewala, Mama JennipherOaklayspamojanaAnna Visckutoka Cyprus kwamsaadawaoambaoulisaidiakupatamitiyamauakutokaNdanda.
Ndugumgenirasmi,
Pamojanamafanikiohaya,Mgenirasmimradihuuunakumbwanachangamotombalimbalikama vile:
*    Mradiunakumbwanachangamotoyarasilimalifedhakwaajiliyakununuamahitajimbalimbaliyatakayosaidiakutekeleamradihuu.Tathiminiyafedhazakitanzania 14,400,000/= zinahitajikailikufanikishamalengoyaliyoanishwahapojuu.
*    Mradipiaunakumbwanachangamotoyavifaavyautekelezajikama vile matoroli, chepenamikasiyakukatiamauaambayoyatasaidiakutekelezamradikwakaribu.
*    Wadauwachache, taasisiinahitajiwadaumbalimbalikatikaufanisiwamradihuu.
*    Maji, mradiunahitajikuwaendelevuhivyomradiulibunikujengakisimakimoja cha maji (underground water Tank)  kwaajiliyamatumiziyakumwagiliamitiwakatiwakiangazi.
NduguMgenirasmi,
Ni imaniyetukuwasikuhiiyamazingirayaTaasisiyetuya Rondo inasaidiawatuwotekuachaalamazaohapakwetunasisitunaaminikwambamchangowakowowoteutakaoufanyaleoutakuwaumejiunganamtandaohuumkubwawawanaharakatiwautunzajiwamazingira, Ni jukumu la kilammojawetukuwajibikamahalialipoilikupunguzaatharizinazotokeakutokananakuharibumazingira. Inaaminikamazingiranisilahahatarikulikosilahayoyoteulimwenguni (Rev.Fr.Linus John Buriani) kutokananautafitimdogonilioufanyanimegunduakuwaendapomazingirayakikasirikakutokananauharibifuwakazizabinadamuyanawezakuangamizaduniandaniyamasaamachache, hebutukumbukesunami,ukame, mafurikoyanayoendeleahukoUingerezapamojanaUpepoulioharibumakaziyawatuhukoKiwalalanaNyengedinidhairikuwakamahatutawezasema “Niachealama Rondo kwakutoamsaadawahalinamaliilikuwezakutunzamazingiratunawezajikutatunaingiakwenyehatariyakukumbwanahasirazamazingira.
Nawashukuruwote


Asante

……………………………………………
REV.FR.LINUS JOHN BURIANI
IDARA YA MIRADI, KILIMO NA MAZINGIRA
RONDO JUNIOR SEMINARY


MCHANGANUO WA BAJETI YA TSH 14,400,000
MAELEZO
KIASI
BEI@
JUMLA

1.   Cement
Mifuko 100
18000
1,800,000
00
2.   Mawe
Trip 20
60000
1,200,000
00
3.   Kifusi
Trip 50
30000
1,500,000
00
4.   Gharamazakitalu
1

2,000,000
00
5.   Kisima
1

7,900,000
00
JUMLA KUU


14,400,000
00


SALAMU ZA MAKAMU ASKOFU KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA TAREHE 01/03/2014
NduguMgeniRasmi,DR. Hamid Nassor
KamandanaMkuuwa TAKUKURU MkoawaLindi,
NduguMkurugenziMtendajiHalmashauriyaWilayayaLindi,
NduguWadauwaTaasisizaKifedhaMkoawaLindi,
NduguWakuuwaIdarazaHalmashauriLindi,
ViongoziwaIdarambalimbalizilizopo Kata yaMnaranaTarafaya Rondo,
MkuuwaSeminari, jamiiyoteya Chuo naSeminari Rondo,
NduguzanguWanahabari,
NduguWageniwoteWaalikwa,
MabibinaMabwana.
NipendekumshukurumungukwakutufikishasalamanakufanikishamaandaliiyoteyasikuhiimuhimusanakwaDayosisiyaMasasi. NikushukuruMgeniRasminaujumbewakowotekwakuahakainyingi a serikalinafamilianakujakushirikipamojanasi. Niwashukuruwageniwotewaalikwananyikwauwepowenuhapainadhihirishaniayenusafiyakutuungamkono.
NduguMgeniRasmi,
Kanisalinashirikiananaserikali,taasisizisizozakiserikalikatikakuendelezaharakatimbalimbalizamaendeleoyanchiyetu. Kipekeenipendekutajabaadhiyamashirikanamiraditunayoifanyailikujenganakuletanguvuyapamojakatikamaendeleoyetu.
*    MradiwaKingayaAfyanaUsalamawachakula- UnaofanywahukoNachingweanaMasasiunaofadhiliwana CIDA/PWDRF
*    MradiwaPamojatuwalee
*    MradiwazahanatizilizpkatikavijijivyaChidyana Rondo
*    Miradiya Hostels kuwasaidiawatotowanaoishikatikamazingiramagumu.
NduguMgeniRasmi,
Hizinijitihadazakanisakatikakuletamaendeleoyanchiyetunahivyokuisaidiaserikalinamashirikamengineyasiyoyakiserikalikujenganguvuyapamojakatikaushirikianowataasisizaserikalinazisizozakiserikali.Witowetukwawadauwotewamaendeleonikuendeleakushirikiananajitihadakamahizitunazozifanyaleokwamaslaiyanchiyetu. Mambo yamazingirayanaungwasanamkononaRaiswetu, Dr. MrishoJakayaKikwetetuendeleekumuungamkonokwakilatasisikupangajambokamatufanyaloleo.
OfisikuuyaDayosisiyetupamojanaWakristowotewaKanisaAnglikanaDayosisiyaMasasiwanayofurahakuwapongezawatendajiwotewa Chuo naSeminarikwamawazohayachanyamuliyoanzisha, SisitutaendeleakuwatiamoyanakuwaungaMkonokwanamnayoyoteileilikufanikishamalengoyotemuliyoyawekanaimaniyetukuwamaazimishoya 01/March/2015 yatatuelezamafanikiomengiyamalengomulijiwekea.
NduguMgeniRasmi, Mimi simsemajileonipendekuendeleakuwashukuruwotekwaujumlawenukwakuitikiawitohuu, Kumbukakilamtuasiondokehapabilakuachaalamakwakujitoakwahalina Mali ilikufanikishamalengoyetu. Ni imaniyangukwambamtiwakumbukumbuutakaopandaleo, nazawadiyakoyaChakula Cha asantemazingirayoteitaashiriaalamayakokwetu.
NipendekumwombaMunguawatienguvunaKufikishasalamakilammojanaalikotoka.
Munguawabarikisana.                                                            
Ndimi
MakamuAskofu
DayosisiyaMasasi.



HOTUBA YA MGENI RASMI, MKUU WA WILAYA YA LINDI
DR. HAMIDNASSORO, KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA RONDO SEMINARI TAREHE 01MACHI 2014


Baba MakamuwaAskofu - Fr. Carlos Marcus, pamojanaViongoziwotewaOfisikuuyaDayosisiMasasi,
KamandanaMkuuwa TAKUKURU MkoawaLindi,
NduguMkurugenziMtendajiHalmashauriyaWilayayaLindi,
NduguWadauwaTaasisizaKifedhaMkoawaLindi,
NduguWakuuwaIdarazaHalmashauriLindi,
ViongoziwaIdarambalimbalizilizopo Kata yaMnaranaTarafaya Rondo,
MkuuwaSeminari, jamiiyoteya Chuo naSeminari Rondo,
NduguzanguWanahabari,
NduguWageniwoteWaalikwa,
MabibinaMabwana.

NianzekwakuishukuruKamatiya Maandalizi yaSherehehii kwa kunialikamimikuwaMgeniRasmisikuhiiyaleo. Hiiniheshimakubwakwangunikiwakamammojawawadau,nahakikamsimamizimkubwakatikaWilayayaLindihatakatikasualazima la mazingira naulinzi wake.Kwa dhatikabisaniwapongezesananinyiwanajumuiyawa Chuo naSeminariya Rondo kwa kubunimradiwa kuhifadhi nakuboresha mazingira nausafiwamaeneoyanayowazungukahapa. Hiinidalilinjema kwa vizazivijavyokwanimnapoamua kuhifadhi mazingira yenusasa, watotonawajukuuzetuwabaadaewatanufaikakupitiambinuhii.

Napendakuwapongezawadauwoteambaommeshirikikwenyemaadhimisho hayaleokwaniniisharatoshakwambamnathaminijuhudizilizoanzakuonyeshwahapa Rondo Seminary.

HayanimafanikioambayonimfanowakuigwanaTaasisizotekatikaWilayahiiyaLindi, pianihatuainayostahilikuungwamkononawadauwotewapendamaendeleondaninanjeyanchiili kukabiliana naMabadilikoyaTabianchi.Sotekwapamojanapendakusisitizakuendeleakuchukuahatuazadhati, kwa kutumianyadhifazetu, kuzuiauharibifuwa mazingira nakuboreshapalipoharibika.

Pamojanamafanikionahatuakubwatuliyopigakatikakutekeleza Sera naSheriayaUsimamiziwa Mazingira Na.20 yamwaka 2004, badotunakabiliwanachangamotonyingiilikufikiamalengomakuuya program zetuzaHifadhiya Mazingira. Changamotozinazotukabilini:-
·        UchomajimotoovyounaoendeleakufanyikakatikaWilayayetuhasanyakatizakiangazi.
·        UkatajiholelawamitikatikaMisituyaHifadhi kwa ajiliyauchomajiMkaanaupasuajiharamuwaMbao.
·        Kukaukakwavyanzovyamajikutokananauchomajimisitu, ukatajiholelawamitinaKilimokandokandoyamitonavyanzovyamaji.
·        KuvamiwaMisituyaHifadhinaMaporiyaAkiba kwa ajiliyaKilimokisichoendelevu.
·        UfinyuwaBajeti kwa ajiliyashughulizaUendelezajinausimamiziwaRasilimalizamisitunaHifadhiya mazingira.
·        Kufanyikakwauvuviusioendelevuwakutumiazanaharamukamamabomu, sumu, makokoronanyavuzenye macho madogochiniyaInchi 5.
·        Urinajiasaliusioendelevuhasa kwa kutumiamoto.
·        Utupajiovyowa taka ngumukatikamaeneoyamiji, vitongojinavijijivyetu.

Kutokanana changamotohizonilizozitaja,kuanziasasaniwaagizeMaafisamnaohusikanakusimamiaSera naSheriazanchikuhusu mazingira, kutumiakikamilifunakuwachukuliahatuawotewanaokwendakinyumenauhifadhiwa mazingira katikawilayayetu.Sotetunafahamu Tanzania nimiongonimwanchizinazotekelezashughulizakupunguzahewamkaakupitiaudhibitiwaukatajimitinauharibifuwamisitukatikakipindi cha majaribio. Utekelezajiwa shughuli hiziunalenga: kuungamkonokuchukuahatuazinazostahilikurekebishahalihiyo kwa kutumiasheriaza halmashauri au sheriaya mazingira.

Mwaka 2001, serikaliiliongezajuhudizaidi kwa kuanzishaTuzoyaRaisyaUongozinaUborawaHifadhiya Mazingira. Lengo la Tuzohiini kutambua juhudizakampuni au mtubinafsi aliyefanya vizurizaidikatikauboreshajiwahifadhiya mazingira, na mafanikio yakekatika uendeshaji endelevuwashughuliza kuhifadhi Mazingira. Aidha, Tuzoinalengo la kuhamasisha makampuni, Taasisinawatubinafsi kutambua nakuonaumuhimuwa kuendeleza mazingira yetupia kukabiliana naatharizamabadilikoyaTabianchi zinazoweza kutukabili tusipochukua tahadharikama vile:-
      Kubadilika nakutotabirika kwa misimuyamvua.
      Kushuka au kupunguakwamavunokatikamashamba.
      Kuongezeka kwa majangayamafuriko/ukame
      Kupungua kwa thelujikatikavilelevyamilima (mfanomlima Kilimanjaro) kwakasikubwa.
      Kushuka au kupungua kwa kina cha majikatikamitonamaziwa.
      Kueneakwa maradhi ya Malaria hatakwenyemaeneoyenyebaridiyahaliyajuukama vile eneohili la Rondo.

Niongeze kwa kurejea maandikoyaB i bl i ainayotuelezakwamba "Mungualiumbambingunanchina alipoziangalia akaonazinavutia. Aliumbamitonabaharinaakaonazilikuwamuruakabisa”. Aliendeleanahatimayeakamuumba mwanadamu. Litafakarinihilo.

Mungu hakumuumba binadamu kwanza. Alimuumba wamwishona kumwamrisha alindevyoteambavyoalikuwa ameviumba, kwa hivyo mwanadamu kuharibu kileMungu alichoumba pasipo kusema kilikuwakizuri, nakuhakikishia hautaingiambinguni.

MWISHO, ninaishukuru kamati ya Maandalizi nanyote mliofika hapa katika maadhimisho haya. Nasema: USAFI WA MAZINGIRA NA KUTUNZA MAZINGIRA NI JUKUMU LA KILA MMOJA WETU, TUKISHIRIKIANA PIA KAMA WADAU KATIKA MAZINGIRA.

Asanteni sana kwa kunisikiliza.

No comments:

Post a Comment