EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, February 7, 2014

HUYU NDIYE MSANII WA KUSINI AMBAYE WIMBO WAKE UNASHIKA NAFASI YA KWANZA KWENYE HOT 5 YA SHOO YA VIPAJI VYA KUSINI YA PRIDE FM 87.8 MTWARA

Kwa majina yake ya kuzaliwa anaitwa kaiza komba lakini jina lake la sanaa anafahamika kama Dot kadio na anafanya mziki wa aina ya rege nyimbo ambayo inamuweka juu kwa sasa ni ile aliyofanya lemix ya nyimbo ya davido na kuiingiza kwenye lugha ya kiswahili................................
kusikiliza vipaji vya kusini online andika www.878pridefm.com kila jumamosi kuanzia saa 6:00 mchana na kumpigia kura msaniii unaempende aingie katika chati za juu za hot 5 sikiliza nyimbo za hot five hapo pembeni utakuwa umemuongezea max msanii wako kati nya hao walioko hapo na nyimbo zao.
king of rwaga dancers ..Dot Kadio

No comments:

Post a Comment