EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, March 1, 2014

CHUNO SEKONDARI YAWAPONGEZA WANAFUNZI WAKE KWA KUFANYA VIZURI MATOKEO KIDATO CHA NNE.............NA KASSIM NGUMBI..Mtwara

MWENYEKITI WA BODI YA SHULE ndg:HASAN SALUM ABDALLAH (HANS) AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WAKATI WA GHAFLA YA KUWAKARIBISHA KIDATO CHA KWANZA NA KUWAPONGEZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI CHUNO MTWARA MJINI.
mwaka jana shule ya sekondari ya chuno ilishika nafasi ya pili toka mwisho kimkoa katika matokeo ya kidato cha nne ambayo ndiyo matokeo yake ya kwanza toka shule hiyo ianzishwe mwaka 2008 na kwa mwaka huu hali imebadilika ambapo shule hiyo imeweza kufaulisha wanafunzi kwa hali ya juu.
MKUU WA SHULE YA SEKONDARI CHUNO NDG:BENJAMINI NDOSI
WANAFUNZI WAKIIMBA
 ambapo wanafunzi wenye div one hamna hata mmoja,DiV two ni wawili, DIV Three ni kumi na moja ,DIV Four 26,na hamna aliyepata sufuri huku matokeo ya kidato cha pili shule ya chuno imekuwa shule ya 76 kati ya shule 257 za mkoa wa mtwara.
WANAFUNZI WA CHUNO WAKIWASIKILIZA WALIMU WAO
na kwa matokeo hayo ya mwaka jan aya kidato cha nne chuno imekuwa nafasi ya 17 kati ya shule 68 za mkoa wa mtwara na nafasi ya 1951 kati ya shule 3256 za taifa zima
.
wanafunzi wakifanya maigizo
PICHA NYINGINE ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA SHEREHE HIYO




No comments:

Post a Comment