EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, January 19, 2014

WAKAZI NA WAFANYABIASHARA WA NANYAMBA MTWARA WAKELWA NA HALI YA MIUNDO MBINU SOKONI

NA: KASSIM NGUMBI
Uongozi wa mji mdogo wa nanyamba wilaya ya mtwara halmashauri ya mtwara vijijini umelazimika kueleza juu ya ytawala wa mji huo ili kutoa ufafanuzi wa kina kwa wananchi wake juu ya namna miradi ya mji huo inavyotekelezwa,hali hiyo ilijiyokeza mara baada ya msafara wa pride fm kuwasili nanyamba na kuzungumza na wakazi wa eneo hilo wakiwamo na wafanya biashara na kubaini kuwa kero kubwa waliyokuwa nayo watu wa eneo hilo hasa wakati huu wa mvua ni miundombinu mibovu ambayo haielekezi maji wapi kwakwenda badala yake yanajaa mitaani. lakini pia sambamba na hilo suala lingine ni kukwama kwa shughuli za kimaendeleo zinazofanywa na wafanyabiashara wa eneo hilo kutokana na soko hilo kuvuja huku wakitupa lawama kwa uongozi wa almashauri ya mji huo, lakini muandishi wa habari hizi alibisha hodi ofisini  kwa mkurugenzi wa mji huo kutaka ufafanuzi juu ya hili kama anavyoelezea kupita sauti hapo chini na mahojiano yote yalivyokuwa............SIKILIZA HAPA.......

No comments:

Post a Comment