EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, January 20, 2014

AJABU……..MTOTOT MCHAWI AFICHUA SIRI AONYESHA WACHAWI WANAVYOCHINJA MAITI WAKATI WA USIKU



BAADHI YA VIFAA VYA KISHIRIKINA
NA:KASSIM NGUMBI
Mtoto Huyo Ambaye Ni Mkazi Wa Mtaa Wa Ligula B Kata Ya Ligula Mkoani Mtwara Jina Lake Limefichwa Kwa Sababu Za Kiusalama Mwenye Umri Kati Ya Miaka 9 AMABE SASA ANASOMA DARASA LA TATU KATIKA SHULE YA MSINGI MANGOWELA MkOANI MTWARA  Katika Hali Isiyo Ya Kawaida Ameielezea Swacotz Forum Jinsi Yeye Anavyochukuliwa Na Babu Yake Anayeishi Naye Kwa Njia Ya Kimiujiza Na Kufanya Kazi Ya Kuchinja Maiti Wakati Wa Usiku Mtoto Huyo Ambaye Alijitaja Kuwa Yeye Katika Kazi Hiyo Alikuwa Na Cheo Cha Malkia Wa Watoto Licha Ya Kueleza Mambo Mengi Yanayofanywa Na Wachawi Usiku Pia Alieleza Kuwa Yeye Na Babu Yake Pamoja Na Watu Wengine Wamekuwa Wakifanya Kazi Hiyo Kila Siku Usiku Na Kula Nyama Za  Binadamu.Awali Motto Huyo Swacotz Ilimgundua Mara Baada Ya Kumkuta Akiwasimulia Watoto Wenzake Wenye Umri Unaofanana Na Wake Na Ndipo Kwa Siri Ilimuta Na Kufanya Mahojiano Naye Pasipo Watu Kufahamu .

Ndipo Akaeleza Kazi Wanayoifanya Yeye Na Wachawi Wenzake Akiwemo Babu Yake Katika Maelezo Yake Alisema Kwanza Huwa Wakishajuwa Mtu  Amezikwa Leo Basi Usiku Huwa Wanaenda Kaburini Na Kumtoa Marehemu Kasha Kumpaka Vitu Ambavyo Vipo Katika Imani Zao Za Kishirikina Na Baadaye Kuichinja Maiti Hiyo Kasha Kuila Nyama Pia Alieleza Kuwa Katika Kazi Hiyo Huwa Wanakuwa Watu Tyoka Mikoa Mbalimbali Kama Vile Dare S Salaam,Mtwara Na Mikoa Mingine Ambayo Yeye Alishindwa Kuitaja Alisema Kuwa Kwa Sasa Ameachana Na Kazi Hiyo Na Anasali Kwa Kumuomba Mungu Ingawa Baadhi Ya Wachawi Wamemtishia Kumuua Lakini Pia Jirani Na Bibi Wa Motto Huyo Walikiri Kuwepo Kwa Swala Hilo Na Kueleza Jinsi Walivyosikitishwa Nalo Kwa Kuona Motto Mdogo Anahisishwa Katika Masuala Ya Kishirikina Kama Hayo………………

ZAIDI SIKILIZA HAPA CHINI MTOTO, JIRANI NA BIBI WAKIELEZEA……………..



No comments:

Post a Comment