EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, October 31, 2013

RONALDO AKARIBIA KUTENGENEZA REKOD KATIKA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA ULAYA MSIMIU WA 2013/14


RONALDO-AUG13ZIKIWA zimebaki Mechi 3 ili hatua ya Makundi imalizike, Cristiano Ronaldo anahitaji Bao moja tu ili afikie Rekodi inayoshikiliwa kwa pamoja na Ruud van Nistelrooy, Filippo Inzaghi na Hernán Crespo ya kufunga Mabao mengi kwenye Hatua za Makundi za UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Msimu huu, Ronaldo ameshapiga mabao 7 akiwa na Real Madrid ambao wamefunga Bao 12 katika Mechi 3.
Ruud van Nistelrooy, Filippo Inzaghi na Hernán Crespo, walifunga mabao yao 8 Hatua za Makundi  Msimu wa  2004/05  kwa Van Nistelrooy,  2002/03  kwa Crespo na Inzaghi.

- BAADHI YA NYOTA AMBAO WALIKARIBIA REKODI HIYO KWENYE HATUA ZA MAKUNDI:

2013/14: Ronaldo (7), Ibrahimovic (6) –
2012/13: Burak and Ronaldo (6)
2011/12: Gomez and Messi (6)
2010/11: Eto'o (7)
2009/10: Ronaldo (6)
2008/09: Benzema, Gerrard, Klose, Messi (5)
2007/08: Ibrahimovic, Ronaldo (5)
2006/07: Drogba, Kaká, Morientes (5)

No comments:

Post a Comment