EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, August 5, 2013

"MWENYE JINSIA MBILI AJITOKEZA HUYU HAPA ANATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU


Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo. Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..  Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa... Cha  kufurahisha  zaidi  ni  kwamba, jamaa  katangaza  kusaka  mchumba ...

FEZA KESSY AENDELEA KUPETA NDANI YA BIG BROTHER.....MPENZI WAKE ATOLEWA

Hatimaye jina la Oneza limefikia tamati jana baada ya Afrika kuamua kumuondoa shemeji yetu Oneal aliyepata kura ndogo zaidi katika The Chase. Pamoja na matumaini madogo sana aliyokuwanayo Feza ya kupona panga la eviction ya jana (August 4) lakini Afrika imeamua kummbakiza Feza mshiriki pekee wa Afrika mashariki na Tanzania aliyebaki.  Feza Kessy amepona katika eviction ya jana kwa kura tatu tu za Tanzania, Kenya na Sierra Leone , wakati Uganda wakiwa kama nchi ya Afrika mashariki wameonekana kuchoshwa na mapenzi ya Oneza hivyo kura yao wakampa Bimp. Bimp ndiye mshiriki aliyekuwa star wa eviction show ya jana sababu ndiye...

ROBERT MUGABE NDANI YA IKULU YA ZIMBABWE KWA MARA YA SABA....

Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kinyan’ganyiro cha Urais wa Zimbabwe, Rais Robert Mugabe (89), amefikisha mihula saba ndani ya Ikulu ya nchi hiyo. Mugabe juzi alishinda tena kiti cha urais. Matokeo rasmi yalionyesha kuwa aliibuka na ushindi wa asilimia 61 wa kura dhidi ya mpinzani wake, aliyekuwa Waziri Mkuu, Morgan Tsvangirai ambaye alipata asilimia 34. Chama cha Zanu-PF kinachoongozwa na Mugabe na kile cha MDC cha Tsvangirai, viliunda Serikali ya Muungano mwaka 2008. Juzi, Tume ya Uchaguzi Zimbabwe (ZEC), ilimtangaza Mugabe...

" NILIKURUPUKA KUOLEWA MAPEMA" JACK PATRICK

MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi.  Akizungumza na mwandishi  wetu, Jack alisema laiti angekaa kwenye uchumba kwa angalau muda wa miaka miwili kuchunguzana kabla ya kuoana mwaka 2011, asingeweza kufikia hatua ya ndoa kwani wangeshindwana tabia mapema.  “Nilikosea, nikakurupuka kuolewa mapema bila kumchunguza tabia mpenzi wangu, uhusiano wetu ulidumu miezi mitano tu kisha tukafunga ndoa, lakini matokeo yake tabia hazikuendana na ndoa ikakosa uhai ndani ya muda...

No comments:

Post a Comment