EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, July 28, 2013

MWANAHUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEKAMATWA AKIZINI NA MCHUNGAJI WA KANISA JIJINI DAR


MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo. Tukio hilo la aina yake ambalo lilikusanya umati wa watu, lilitokea hivi karibuni maeneo ya Ukonga Mazizini, jijini Dar ambapo nabii huyo alipigwa hadi kuchaniwa nguo. Akielezea mkasa huo, mtoto wa mchungaji wa kanisa hilo, Christina Kiondo alisema baba yake alikuwa akishirikiana kwa huduma ya kanisa na Nabii Juliana lakini katika ushirika huo anaamini wawili hao walikuwa na uhusiano usiofaa. Alisema kisa cha nabii huyo kupigwa, hivi karibuni...

No comments:

Post a Comment