EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, June 11, 2013

MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Marerhemu CASHY aliyekuwa muigizaji wa bongo movie

Msanii wa filamu Tanzania Jaji Khamis anaejulikana kama Kashi, amefariki leo hii, akiwa hospitali ya taifa ya Muhimbili, huku kilichomuua hakijajulikana mpaka dakika hii, ila inasemekana alikua anaumwa kiasi cha kushindwa kuongea usiku wa kuamkia jana. kupitia mtandao wa instagram muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) aliandika  Ehhh Mungu wangu!!! mona tinaisha hv jamani??? REST IN PEACE DADA CASHY.....uwiii tumrudieni .uwiii tumrudieni MUNGU jamani...hakuna anejua siku wala saa.
Wema Sepetu nae aliandika 
Inna lillahi wa innah illahi rajoon.....dah tunapukutika tu wallahi...dah

No comments:

Post a Comment