EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, June 11, 2013

HAYA NDIYOYALIYOJIRI KAMA ULIKUWA HAUFAHAM NINI DHUMUNI LA UJIO WA OBAMA, NA KUHUSU MATONYA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UTAPELI

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ADAI KUWA UJIO WA RAIS OBAMA SI KWA AJILI YA RASILIMALI ZA MTANZANIA

Akiongea na waandishi wa habari jana, Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa  nini Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania? Ni kweli  Rais wetu anakuja malengo ya ziara yake yatajikita katika mambo ambayo ni malengo ya Marekani kwa Afrika, ambayo ni uhusiano wa kiuchumi, kuimarisha demokrasia na kuwekeza katika kujenga kizazi kijacho cha uongozi." Akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari kuhusu uhusiano wa ujio wa Rais Obama na rasilimali za...
Related Posts Widget For Blogger with ThumbnailsBlogger Templates TUPE MAONI YAKO

"SIWEZI KUMWACHA PREZZO HATA AWE MALAYA KIASI GANI....MUNGU ALIMZAA KWA AJILI YANGU"...DIVA WA CLOUDS FM

DIVA  AKIWA  NA  MKE  MWENZA... Jana Diva wa Clouds fm amevunja ukimya na  kufunguka  tena  kuhusu  penzi  lake  kwa  Mkenya  a.k.a  Prezzo... Diva  ndani  ya  pozi  la  nusu  uchi... HII  NI  KAULI  YAKE:  “Okay now that some bloggers blog about me and Prezzo and Prezzo kuwa womanizer …Prezzo this and that ..blah blah blah OGAWD. Guys Prezzo is the President……….he is grown man and labda hamumjui au hamjawahi kaa nae au kuzungumza nae but trust me he is such a sweetheart.... He is a very good guy and he...
TUPE MAONI YAKO

"KAMA NINGEKUWA RUGE NINGEMPIGIA MAGOTI LADY JAYDEE NA KUMUOMBA MSAMAHA"....SEBO WA MAGIC FM

Katika kipindi cha Sun Downer cha Magic FM, mtangazaji huyo amesema kwamba shangwe zilizolipuka mara baada ya Jaydee kutajwa kuwa miongoni mwa wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike katika  tuzo za KTMA, ni ishara ya mwanadada huyo kukubalika katika  jamii.  Mtangazaji huyo amesema kwamba Jaydee ni mwanamke mwenye uthubutu katika  harakati za kuyasaka maisha na kwamba yeyote mwenye nia ya kukwamisha jitihada zake aibu na iwe juu yake.  Ameongeza kuwa kukubalika kwa mwanadada huyu pia kulidhihirika pale  watazamaji katika tukio hilo walipomshinikiza Meneja wa msanii huyo (Gadna) kutaja kiingilio...
TUPE MAONI YAKO

MBUNGE WA MTWARA ASOMEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI NA KUREJESHWA RUMANDE BAADA YA KUKOSA DHAMANA

Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnein Murji (kushoto) akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara jana kusomewa shtaka la kufanya uchochezi. (picha: Haika Kimaro/MWANANCHI) Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini (CCM), eneo ambalo limekumbwa na vurugu hivi karibuni kusini mwa Tanzania, Hasnein Murji na watuhumiwa wengine 91 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani humo Jumatatu, Juni 10, 2013 akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi wa vurugu zilizosababisha vifo vya watu watatu mwezi uliopita.Murji amepandishwa kizimbani ikiwa ni moja ya mkakati wa vyombo vya dola kuwasaka na kuwafungulia mashitaka watu...
TUPE MAONI YAKO

VIDEO YA MWIGULU AKIDAI KUWA CHADEMA NI WAUAJI NA AMEKIRI KUHUSIKA NA VIDEO YA LWAKATARE

ASEMA CHADEMA WANAVIPAJI VYA KUSEMA UWONGO   ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE   ANUKULIWA “CHADEMA NI CHAMA CHA WAUAJI MPAKA SASA WAMEUWA WATU ZAIDI YA WANANE”   MUSA, MHANGA WA TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AMUUNGA MKONO. Angalia video ambayo inamuonyesha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba  akinadi chama chake kwenye kampeni za udiwani Arusha zikiwa zimebaki siku 6 tu kabla ya uchaguzi. SOURCE: MEDIA 2 SOLUTION...
TUPE MAONI YAKO

TCRA YAAGIZA STAR TV IRUDISHWE MARA MOJA KATIKA VING'AMUZI VYA STAR TIMES

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times. TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja kwenye Star Times  ndani  ya  masaaa machache  yajayo.   Aidha Star Times na Star TV wameelezwa kuwa wote wamevunja sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya 2010 na Kanuni zake na kutakuwa na kujitetea tarehe 17 Juni 2013.   Agizo la kurudishwa kwa Chaneli ya Star TV linatakiwa kutekelezwa ili kuhakikisha kuwa wananchi hawanyimwi haki ya kupata habari.   Vile vile wote wametakiwa kufuata Sheria inapotokea kutokuafikiana badala...
TUPE MAONI YAKO

MSANII MATONYA AFIKISHWA MAHAKAMANI HUKO SONGEA KWA TUHUMA ZA UTAPELI....HUU NDO MKASA WAKE

Msanii Matonya  amekamatwa kutokana na kufanya utapeli katika show aliyotakiwa kufanya katika ukumbi wa Jambolee uliopo manispaa ya Songea mkoani ruvuma.  Taarifa  zinadai  kuwa  Matonya  aliingia ukumbini akiwa amelewa,  hali iliyomfanya  ashindwe  kufanya show na kusababisha hasara katika ukumbi  huo baada ya kufanya fujo ya kuvunja vitu ukumbi hapo... Baada  ua  hali  hiyo,  waandaaji wa show hiyo waliamua  show  hiyo  ifanyike kesho yake na kiingilo kiwe ni  kununua bia . Mbali na sakata hilo, Matonya alitakiwa akafanye show nyingine wilaya...
TUPE MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment